Mji wa Port-au-Prince waanza kurejea katika utulivu baada ya viongozi wa Haiti kukubaliana

Your browser doesn’t support HTML5

Mji wa Port-au-Prince umeanza kurejea hali ya kawaida baada ya viongozi wa kisiasa wa Haiti kukubaliana kuunda baraza la mpito la rais

Mamia ya madaktari nchini Kenya wamefanya maandamano katika mitaa ya jiji kuu la Nairobi, Kenya wakati mgomo wa kitaifa wa madakari unaingia karibu wiki ya nne.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari