Mkutano wa Usalama wa Munich wahudhuriwa na Makamu Rais wa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa Usalama wafanyika Munich ukijumuisha viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Marekani.

Umoja wa Afrika watarajia kupata mwenyekiti mpya wa tume hiyo katika mkutano unaoendelea Addis Ababa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari