Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Mkutano wa viongozi na wataalam Ufaransa wajadili ufadhili wa programu ya mabadiliko ya hali ya hewa
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amefungua mkutano wa viongozi na wataalam mjini Paris kuhusu ufadhili wa programu za mabadiliko ya hali ya hewa.