Mlipuko wa Ebola wathibitishwa Uganda na taasisi ya utafiti

Your browser doesn’t support HTML5

Uganda imethibitisha mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola, kisa cha nadra kilithiibitishwa na taasisi ya utafiti ya virusi ya nchi hiyo.

Viongozi wa dunia wanakusanyika New York katika mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ulioanza wiki hii.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari