Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Msimu wa bajeti ya nchi za Afrika Mashariki: Moani mseto kuhusu bajeti zinazowasilishwa
Your browser doesn’t support HTML5
Nchi za Afrika Mashariki leo zinasoma bajeti yake ya 2023/24, huku wachambuzi wakitoa maoni mchanganyiko hususan wakati nchi nyingi zinakabiliwa na hali ngumu ya maisha.