Mtaalam azungumzia jinsi kusimamisha mpango wa usafirishaji nafaka ya Ukraine utavyoathiri nchi maskini

Your browser doesn’t support HTML5

Mtaalam mwandamizi wa masuala ya kilimo anaamini kusimamisha mpango wa nafaka ambao unaruhusu usafirishaji salama kutoka Ukraine utaumiza nchi maskini.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari