Mtuhumiwa wa mauaji Kenya akamatwa baada ya kutoroka jela

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi nchini Kenya imempeleka mahakamani mwanaume aliyetoroka jela anayezungumziwa zaidi kufuatia tuhuma za kumuua rafiki yake wa kike.