Papa Francis aendelea na ziara yake ya amani barani Afrika, awasili Sudan Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Papa Francis aliwasili Sudan Ijumaa nchi ambayo imekuwa katika mzozo kwa muda mrefu huku akiendelea na ziara yake ya kile Kanisa Katoliki ilichokiita ziara ya amani barani Afrika.

Mahakama nchini Kenya imetoa hukumu ya kifo kwa polisi wa zamani aliyemuua wakili wa kutetea haki za binadamu...


Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari