Papa Francis aongoza ibada kubwa Kinshasa, watu takriban milioni wahudhuria

Your browser doesn’t support HTML5

- Papa Francis ameendelea na ziara yake ya siku ya pili mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuongoza ibada kubwa iliyohudhuriwa na watu milioni moja walitarajiwa kuhudhuria.

- Papa Francis ameendelea na ziara yake ya siku ya pili mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuongoza ibada kubwa iliyohudhuriwa na watu milioni moja walitarajiwa kuhudhuria. - Mazishi ya Tyre Nichols aliyekamatwa kikatili na kupigwa na polisi na baadae kufariki yatafanyika Alhamisi