Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Rais ajae wa COP28 azisihi nchi na makampuni ya mafuta kufanya kazi pamoja kukidhi malengo
Your browser doesn’t support HTML5
Rais ajae wa COP28 amefungua mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Mataifa wa Hali ya Hewa kwa kuzisihi nchi na makampuni ya mafuta kufanya kazi pamoja kukidhi malengo ya hali ya hewa.