Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Rais Biden asema mlipuko katika hospitali iliyoko Ukanda wa Gaza ulionekana haukusababishwa na Israel
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Marekani Joe Biden leo Jumatano amesema mlipuko katika hospitali moja huko Ukanda wa Gaza ulionekana haukusababishwa na Israel.