Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Rais mstaafu Kenyatta ahimiza tena makundi ya waasi kuweka silaha chini
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa mara nyingine Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amehimiza makundi mbalimbali ya waasi yanayoendelea kupambana na jeshi la DRC kuweka silaha chini na kujilazimisha na majadiliano ili kukomesha mzozo wa vita.