Rais wa DRC atoa wito kwa wananchi kukubali mabadiliko ya katiba

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa DRC Felix Tshisekedi ametoa wito kwa wananchi kukubali mabadiliko ya katiba.

Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limesema Sudan inaendelea kukabiliwa na mzozo mkubwa wa kibinadamu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari