Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Rais wa Ecuador aamrisha jeshi kupambana na magenge ya wahalifu
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Ecuador ametoa amri Jumanne kupambana na magenge ya wahalifu baada ya watu wenye silaha kuvamia na kufyatua risasi kwenye studio ya televisheni.