Rais wa Korea Kusini asisitiza umuhimu wa mchango wa Afrika katika sekta ya madini

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Korea Kusini amesisitiza umuhimu wa mchango wa Afrika katika sekta ya madini na kueleza matumaini ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari