Rais wa Marekani anatarajiwa kulihutubia Bunge Jumanne

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajia kulihutubia Bunge kwa mara ya kwanza katika awamu yake ya pili madarakani siku ya Jumanne.

Mashambulizi ya kupitia angani nchini Sudan na hasa mkoa wa Darfur yameongezeka na kusababisha vifo vingi miongoni mwa raia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari