Ripoti ya Kimataifa yaeleza takriban vifo 43,000 vinaweza kuwa vimetokea Somalia 2022

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti mpya iliyotolewa na Wizara ya Afya na mashirika ya huduma za kibinadamu ya Umoja wa Mataifa, WHO na UNICEF imesema takriban vifo 43,000 vinaweza kuwa vimetokea mwaka 2022 nchini Somalia.

Rais wa Russia Vladimir Putin amekuwa mwenyeji wa mwenzake wa China Rais Xi Jinping katika siku ya pili ya mazungumzo yanayoendelea leo Jumanne.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari