Serikali ya Kenya yasema operesheni ya kuleta amani Haiti haitasitishwa

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Kenya inasema operesheni ya kuleta amani Haiti inayoongozwa na kikosi cha polisi cha Kenya haitositishwa.

Kundi la M23 limeendelea na operesheni mashariki ya DRC.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari