Shambulizi dhidi ya gwaride la Krismas laua watano Wisconsin

Your browser doesn’t support HTML5

Hisia tofauti za zuka baada ya watu watano kuuawa Jumapili katika gwaride la Krismas Waukesha katika Jimbo la Wisconsin, nchini Marekani.
- Maafisa wa polisi watawanya maandamano yaliyopigwa marufuku Kinshasa, DRC na kukamata waliokaidi amri hiyo.

-Baadhi ya wananchi wipinga hatua ya kumrudisha Waziri Mkuu madarakani Sudan.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari