- Maafisa wa usalama Sudan wametumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji.
-Marekani yasheherekea sikukuu ya Thanksgiving kutoa shukurani siku ambayo familia na marafiki hukutana kwa mlo wa pamoja kusheherekea.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari