Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Takriban wanajeshi 250 wa Sudan Kusini wameondoka Ijumaa DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Takriban wanajeshi 250 wa Sudan Kusini wameondoka Goma, DRC Ijumaa ikiwa ni kundi la karibuni kabisa kutoka kikosi cha Jumuiya ya Afrika Mashariki kuondoka katika eneo.