Trump amtaka Mfalme Abdallah II aunge mkono mpango wake wa Gaza

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump amezidisha maradufu matakwa yake kwamba Mfalme Abdallah II wa Jordan aunge mkono mpango wake wakuichukua Gaza.

Umoja wa Mataifa umetangaza hali ya njaa katika maeneo kadhaa ya Sudan.

ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari