Trump asema anakaribia kufikia makubaliano na Ukraine na Russia kumaliza vita

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump anasema anakaribia kufikia makubaliano na Ukraine na Russia kumaliza vita Ukraine baada ya mkutano wa White House na kiongozi wa Ufaransa Emmanuel Macron.

Kundi la madaktari wasio na mipaka MSF limeacha kutoa huduma katika kambi ya Zam Zam nchini Sudan inayohifadhi wakimbizi waliokoseshwa makazi ndani ya nchi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari