Tshisekedi adai hana shaka kuwa Rwanda inawasaidia waasi wa M23
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amesema kwamba hana shaka kwamba Rwanda inawaunga mkono waasi wa M23 wanaopigana vita na wanajeshi wa DRC mashariki mwa nchi hiyo. Lakini Rwanda imekanusha madai hayo.