Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Uamuzi wa Mahakama ya Juu Marekani juu ya kigezo cha rangi kujiunga na vyuo vikuu
Your browser doesn’t support HTML5
Maoni mbalimbali yajitokeza baada ya mahakama ya juu Marekani kutoa uamuzi kutumia rangi ya mtu kama kigezo kujiunga kwenye vyuo vikuu