Ugonjwa wa maumivu ya mifupa ni sababu mojawapo inayopelekea ulemavu kwa binadamu.
Your browser doesn’t support HTML5
Arthritis ni kundi la magonjwa yanayosababisha uvimbe, maumivu, na viungo vya mwili kukakamaa na kufanya iwe vigumu kwa mtu kutembea au kujishughulisha na kazi za aina yeyote. Ni moja ya sababu kuu za maumivu na ulemavu duniani kote.