Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Ujumbe wa ECOWAS watarajiwa kuwasili Burkina Faso kutuliza taharuki ya mapinduzi
Your browser doesn’t support HTML5
Ujumbe kutoka ECOWAS unatarajiwa kuwasili nchini Burkina Faso Jumatatu kujaribu kurejesha utulivu kufuatia mapinduzi pili nchini humo mwaka 2022.