Ukame: Njaa inaongezeka Pembe ya Afrika huku takriban watoto milioni 1 wakiwa na utapimiamlo

Your browser doesn’t support HTML5

Ukame katika pembe ya Afrika unazidisha njaa kwenye eneo lote ikiwa pamoja na Kenya ambapo mamlaka zinasema takriban watoto milioni 1 wanautapiamlo.

Sherehe zinaendelea Morocco ambapo mashabiki wako mitaani wakifurahia timu yao kufuzu kwenda kwenye 16 bora huko Qatar.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari