Ukraine yataka kuwepo uchunguzi wa uhalifu wa vita dhidi ya Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Ukraine yashinikiza kuwepo uchuguzi wa uhalifu wa vita ufanyike baada ya kanda za video kuibuka kwenye mitandao ya jamii ikionyesha wanajeshi wa Russia wakimua mfungwa wa vita raia wa Ukraine.

Rais wa Marekani Joe Biden anafanya ziara ya siku mbili nchini Canada.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari