Ukraine yazima mashambulizi kadhaa yaliyofanywa na Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wa Ukraine wamezima mashambulizi kadhaa ya Russia upande wa mashariki wa nchi hiyo, shirika la kijasusi la Uingereza limeeleza Jumatatu.

- Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na wakaazi wa mji wa kaskazini wa Denain Jumatatu, ambako mpinzani wake wa mrengo wa kulia Marine Le Pen amepata zaidi ya asilimia 41 ya kura.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari