Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
UN Habitat yafunga kikao chake Nairobi kwa wito wa kuzingatia makazi kama haki ya binadamu
Your browser doesn’t support HTML5
Mkutano wa pili wa Umoja wa Mataifa wa Makazi unafunga kikao chake mjini Nairobi kwa wito wa kuwepo makazi ya kutosha kwa wote na kuzingatia makazi kama haki ya binadamu.