UN yakaribisha kwa tahadhari mkutano wa Waziri Mkuu wa Italia

Your browser doesn’t support HTML5

UN yakaribisha kwa tahadhari mkutano wa Waziri Mkuu wa Italia na viongozi wa nchi za Afrika hapo jana.

Makampuni ya ndani ya ujenzi nchini Zambia yanalalamikia makampuni ya ujenzi ya China kuingia katika eneo lao na kuchukua biashara zao.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari