UN yaonya vita vinavyoendelea DRC vinaweza kusambaa kieneo

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa umeonya kwamba vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC vinaweza kuwa vikubwa kieneo.

Wakati utawala mpya wa Marekani ukiwa umeahidi kumaliza vita vya Ukraine, wakimbizi wa ndani wa nchi hiyo wameanza kurejea makwao.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari