UN yasema haina ushahidi kuwa walinda amani walifyatua risasi kwa raia

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa umesema hauna ushahidi hadi sasa kwamba walinda amani wake walifyatua risasi kwa raia katika siku tatu za maandamano ya kupinga vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari