Katika Picha Uchaguzi Mkuu Nigeria 2019 : Hali ilivyokuwa wakati baadhi ya vituo vya kupiga kura vikifunguliwa Jumamosi 23 Februari, 2019 Jaffar Mjasiri Kwa mujibu wa mwandishi wa VOA upigaji kura ulikuwa umechelewa kwa saa moja katika eneo la Ikeja GRA, Lagos, Nigeria.