Utafiti waonyesha shughuli zimeshuka katika sekta binafsi nchini Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Utafiti umeonyesha kuna kushuka shughuli kwenye sekta binafsi mwezi Juni nchini Kenya kutokana na kupungua biashara kudhoofika kwa soko.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari