Utawala mpya wa Trump wapongeza mazungumzo ya Saudi Arabia

Your browser doesn’t support HTML5

Utawala mpya wa Trump wiki hii ulipongeza mazungumzo yaliyofanyika Saudi Arabia ambayo yalijumuisha maafisa wa Marekani na Russia lakini siyo Waukraine.

Kufuatia Rwanda kutangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji ikilaumu nchi hiyo kusuka mbinu za kudhoofisha uchumi...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari