Utulivu warejea Burkina Faso baada ya kuzuka uasi wa kijeshi

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya maisha katika mji mkuu wa Burkina Faso imerejea kuwa ya kawaida Jumatatu baada ya kuzuka uasi katika jeshi Jumamosi na Jumapili.

- Marekani imaeanza kutuma shehena ya silaha Ukraine kufuatia mzozo wa Russia na Ukraine.

- Serikali ya Uganda imeongeza idadi ya wanajeshi wake katika Wilaya ya Beni, DRC kwenye harakati za kupambana na makundi ya waasi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

#habari