Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Vikosi vya SADC vyaanza operesheni kupambana na ghasia DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Vikosi vya nchi za SADC vimeingia mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kupambana na mvutano na ghasia katika eneo hilo.