Vikosi vya SADC vyaazimia kupambana na waasi mashariki ya DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Vikosi vya SADC vinaazimia kupambana na waasi mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Mahakama ya Kenya imetoa wiki mbili kwa waendesha mashtaka kutathmini afya ya akili ya kiongozi wa kidini.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari