Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Viongozi wa Afrika na Korea Kusini wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa Afrika na Korea Kusini wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nchi zao katika mkutano wa kwanza na viongozi wa mataifa 48.