Viongozi wa Afrika watangaza sitisho la mapigano Mashariki mwa DRC kuanzia Ijumaa

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Afrika wametangaza sitisho la mapigano mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuanzia Ijumaa.

Mwakilishi mwengine wa Afrika kwenye Kombe la Dunia Cameroon aanza vibaya kwa kufungwa goli moja kwa bila na Switzerland

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari