Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Viongozi wa Afrika watarajiwa kukutana na Rais Putin kuimarisha ushirikiano
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa Afrika wanatarajiwa kukutana na Rais wa Russia huko St. Petersburg, kwa ajili ya mkutano wa kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo.