Vita kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Hamas vyayumbisha uchumi na kuigawanya dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Vita kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Hamas vinayumbisha uchumi na kuigawanya dunia huku msaada wa kibinadamu ukitarajiwa kuanza kuingia Gaza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari