Vita vinaendelea Gaza huku pendekezo la sitisho la mapigano na kuachiliwa mateka likiahirishwa

Your browser doesn’t support HTML5

Vita vinaendelea huko Gaza Alhamisi wakati pendekezo la sitisho la mapigano na kuachiliwa mateka limecheleweshwa kwa siku moja zaidi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari