Wa-conservative wa Ujerumani washinda uchaguzi mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Wa-Conservative wa Ujerumani wameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili.

Kama alivyosisitiza Rais wa Marekani Donald Trump kuwa kuna haja ya kumaliza vita vya Ukraine,

Rais wa Ukraine amesema yuko tayari kujiuzulu ili kutoa nafasi ya upatikanaji wa amani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari