Waandamanaji Maputo walaani mauaji ya wakili wa upinzani

Your browser doesn’t support HTML5

Waandamanaji waingia mitaani katika mji mkuu Maputo kupinga mauaji ya wakili wa upinzani.

Israel na Hezbollah wameendelea kushambuliana wakati ujumbe wa Marekani ukiwa Beirut kuhamasisha sitisho la mapigano.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari