Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Waasi wa M23 waelekea Kivu Kaskazini, Serikali yaapa kuukomboa mji wa Goma
Your browser doesn’t support HTML5
Hali ya wasiwasi inaendelea kutanda DRC wakati waasi wa M23 wakiwa wanaelekea Kivu Kaskazini, huku serikali ikiapa kuukomboa tena mji wa Goma