Waasi wa M23 waendelea kuteka maeneo kadhaa mashariki mwa DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Waasi wa M23 waendelea kuteka maeneo kadhaa mashariki mwa DRC huku Rais wa Ufaransa akitarajiwa kuwasili nchini humo.

Wabunge wa Marekani waitaka White House kupeleka Ukraine ndege za kivita zenye uwezo wa kurusha makombora kwa wakati moja.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari