Wachambuzi watathmini hotuba ya taifa ya Rais Kenyatta

Your browser doesn’t support HTML5

Wachambuzi wa mambo nchini Kenya watathmini hotuba ya taifa ya Rais Uhuru Kenyatta aliyoitoa siku ya Jumanne.
Aina mpya ya virusi omicron kinaendelea kusambaa katika nchi kadhaa na kusababisha masharti kuchukuliwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari